Mwanamke mwenye tatoo nyingi zaidi duniani

Your video will begin in 10
Skip ad (5)
ultimate hustle

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by
11 Views
Mwanajeshi wa zamani wa jeshi la Marekani, Esperance Fuerzina amevunja rekodi kadhaa za Guinness World Records kwa kuwa mwanamke mwenye tattoo nyingi zaidi, mtu mweny tatoo nyingi zaidi aliye hai na aliyefanya marekebisho mengi ya mwili upande wa wanawake.

Imemchukua miaka 10 kuchora zaidi ya 99.98% ya mwili wake michoro mbalimbali.

Hii ni pamoja na sehemu za kichwani, kope, mboni za macho, fizi, ulimi na nyayo za miguu yake.

Fuerzina atatambuliwa katika kitabu cha Guinness World Records 2025.

#bbcswahili #rekodizadunia #wanawake

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Category
TATTOO
Tags
#BBCNewsSwahili, #rekodizadunia, #wanawake

Post your comment

Sign in or sign up to post comments.

Comments

Be the first to comment